Tanzania association of managers and owners of non-government schools and colleges.
Read moreTAMONGSCO ni shirikisho la wamiliki na mameneja wa shule na vyuo visivyo vya serikali. Shirikisho hili lilianzishwa hapa Tanzania mwaka 1998 na kusajiliwa mwaka 2001 wizara ya mambo ya ndani kama asasi isiyo ya kiserikali (NGO). TAMONGSCO ina katiba yake na kanuni mbalimbali za uendeshaji. Kwa mujibu wa katiba hiyo.
shirikisho hili hufanya mikutano yake katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na Taifa. Wanachama wa TAMONGSCO ni asasi zote zinazomiliki taasisi zitoazo elimu katika ngazi za shule (msingi na sekondari), vyuo vya kawaida na vyuo vikuu. Hadi sasa TAMONGSCO ina wanachama zaidi ya 2,000 ambao ni mashirika ya dini (makanisa, misikiti na asasi zingine za dini), asasi zisizo za serikali (NGO , FBO , trusts), Jumuiya ya wazazi (TAPA ), jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ/TPDF ), magereza, makampuni na watu binafsi. .
Lorem Ipsum is simply dummy text of the printing and typesetting industry. Lorem Ipsum has been the industry's standard dummy text.

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Proin consequat sollicitudin cursus. Dolor sit amet, consectetur adipiscing elit proin consequat.